HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 7, 2023

MANCHESTER CITY INACHECHEMEA KUNAKO LIGI KUU YA UINGEREZA

 


KLABU ya Manchester City inaonekana kuchechemea kunako ligi kuu ya Uingereza baada ya kutopata matokeo ya ushindi katika michezo mitatu mfululizo ya ligi hiyo ikiwa ni muda mrefu sana jali hiyo haijaikumba klabu hiyo.

Manchester City wamesuluhu michezo miwili mfululizo huku wakipoteza katika mchezo wa jana wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya klabu ya Aston Villa, Huku klabu ya Arsenal wao wakijichimbia kileleni kwa tofauti ya alama sita mpaka sasa.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Sababu nyingi zinaelezwa kua sababu ya klabu ya Manchester City kufanya vibaya mpaka sasa, Huku mojawapo ikiwa ni majeraha ambayo yamekua yakiiandama klabu hiyo haswa kwa wachezaji wake muhimu kama Kevin de Bruyne, John Stones, pamoja na kiungo Rodri.

Manchester City mbali na majeraha ambayo yamekua yakiisumbua klabu hiyo lakini sababu nyingine ambayo inawafanya kupata shida msimu huu ni wachezaji walioondoka klabuni hapo dirisha lililopita na kutopatiwa mibadala sahihi mpaka sasa.

Manchester City wanapitia kipindi kigumu kwenye michuano ya ligi kuu ya Uingereza lakini haitazuia kuacha kujipigia mikwanja, Kwani mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kumwaga ODDS KUBWA katika michezo mbalimbali barani ulaya.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Header Image:

FACEBOOK/INSTAGRAM

Text:

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wanaendelea kuhakikisha wateja wake wanashinda mikwanja ya kutosha kutokana na ODDS KUBWA na za kibabe wanazoendelea kutoa kwenye michezo mbalimbali barani ulaya. Kwa wale wa USSD na vitochi pia, *149*10#. Meridinbet, kuna Machaguo zaidi ya 1000 na Cash Out kama kawaida. #meridiamnbettz #kasinoyamtandaoni #slotimachine #ushindimkubwa #titanroulette #oddskubwa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad