HAYAWI hawayi usiku wa kutamatisha hatua za makundi unaendelea hii leo yani Ligi ya Mabingwa Ulaya UCL huku timu zingine zikiwa tayari zimejihakikishia kufuzu hatua ya 16 bora zingine zikisaka hiyo nafasi bado na zingine zikiangukia Europa, huku wengine wakiondolewa kabisa.
Darubini yangu inaanza saa 2:45 ambapo hapa tunamulika mchezo wa RC Lens dhidi ya Sevilla ambapo mechi ya kwanza walipokutana walitoshana nguvu. Mwenyeji ana pointi tano huku mgeni akiwa na pointi mbili. Lens anahitaji ushindi afuzu michuano ya Europa baada ya kuonekana vigumu kufuzu hatua ya 16 bora huku Sevilla akiwa hajashinda mechi yoyote ila akishinda leo kwa magoli mengi anaweza kwenda Europa. Mechi hii imepewa ODDS 1.96 kwa 3.77. Ingia na ubashiri sasa.
Mechi nyingine ya kuchezwa muda huo ni kati ya vinara wa kundi B Arsenal ambao tayari wamefuzu wao watakuwa ugenini kukichapa dhidi ya PSV ambaye ana pointi 8. Mara ya mwisho kukutana Arteta aliondoka na pointi. Ushindi wa The Gunners ni ODDS 2.45 kwa 2.65. Suka mkeka wako hapa sasa.
Huku ukiendelea kubashiri mechi za UEFA, pia kumbuka kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni inayotolewa hapa ikiwemo Aviator, Poker, Roullette, Keno na mingine kibao kwa dau dogo tuu uweze kukwamua mkwanja wa maana unaotolewa hapa. Ingia mchezoni na ucheze sasa.
Kule Italia kutakuwa na mbungi la hatari kati wa Wanafainali wa msimu uliopita, Inter Milano ambao watakuwa pale Giuseppe Meazza dhidi ya Real Sociadad San Sebastian na wote wakiwa na pointi sawa 11. Timu zote zinagombani nafasi ya kwanza, mwenyeji akiwa na ODDS 1.62 kwa 5.09. Nani kukaa kileleni leo? Beti mechi hii hapa.
Kundi A likiwa linawaka moto vilivyo leo hii ni kufa au kupona ambapo FC Copenhagen atakiwasha dhidi ya Galatasaray ambao wote wamefungana pointi wakiwanazo 5. Yoyote akishinda anaenda 16 bora. Je nani kuondoka na ushindi? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri na Meridianbet hapa.
Mechi nyingine itakuwa pale Old Trafford ambapo Manchester United atakuwa akijiuliza mbele ya Bayern Munich ambaye atayari amefuzu. Mechi ya kwanza alipasuka, je leo atalipa kisasi huku akipewa ODDS 2.69 kwa 2.26. Lakini ili Ten Hag afuzu anahitaji ushindi huku akiombea njaa Copenhagen na Galatasaray watoke sare. Ingia mchezoni na ubeti.
Mechi hizi za hatua ya makundi zitaendelea hapo kesho ambapo Newcastle United atakuwa pale St James’ Park kumenyana dhidi ya AC Milan na timu zote zinahitaji ushindi kufuzu 16 wakiomba Paris achapike ugenini. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.86 kwa 3.82. Tengeneza jamvi hapa na ubashiri mechi hii.
Naye Borussia Dortmund atakuwa mwenyeji wa PSG huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 3 pekee. Ili kufuzu Enrique anahitaji ushindi au sare akiomba mabaya mechi ya Newcastle na Milan. ODDS KUBWA zipo hapa yani ni 3.72 kwa 1.86 na nafasi ya kwanza inaweza kwenda kwa yoyote hapa.
Kundi E nalo si haba Atletico Madrid ya Diego Simeone itakiwasha dhidi ya Lazio ambao wamepishana pointi 1 pekee, timu zote zinawania nafasi ya 1 japokuwa wote wameshafuzu 16 bora kwani anayefuata hata akishinda atakuwa na pointi 9, pekee ambaye ni Feyenoord na Celtic akiwa tayari ameondoshwa kwenye michuano hii.
FC Porto naye atashuka dimbani dhidi ya Shakhtar Donetsk na wote wana pointi 9 kinachowatofautisha ni magoli pekee. Kila timu inataka ushindi kufuzu hatua inayofuata, ushindi wa mwenyeji ni 1.44 kwa 6.66. Beti hapa.
Barcelona ambaye tayari amefuzu hatua ya 16 bora atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Royal Antwerp ambayo ni kama imesindikiza kwenye michuano hii kwani mpaka sasa haijashinda mechi yoyote. Mara ya mwisho kukutana, Xavi na vijana wake walishinda. Je watamalizaje hatua ya makundi? Suka mkeka wako sasa.
No comments:
Post a Comment