KIPINDI hichi cha msimu wa sikukuu Meridianbet wamehakikisha kua mwaka hauishi kinyonge kwani wamekuja na Promosheni kambambe ambayo itawawezesha wateja wao kumaliza mwaka wakiwa na tabasamu nene.
Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamefanikiwa kuja na Promosheni ya kikubwa ambayo itamuwezesha mteja wa Meridianbet ambaye anacheza michezo ya Sloti iliyopo chini ya Kasino Mitandaoni kuibuka mshindi wa Samsung A32, Huku mshindi wa pili akinyakua A23,Mshindi wa tatu akiwekewa kiasi cha shilingi laki tano za kitanzania kama bonasi.
Cheza michezo ya Kasino mitandaoni kila siku uweze kujishindia zawadi mbalimbali haswa katika kipindi hichi cha sikukuu ambapo Meridianbet wametoa Promosheni mbalimbali ukicheza michezo ya Kasino mitandaoni kama Book of Eksimo, Book of Egypty, Pinata Loca, Piggy Party.
Kila msimu wa sikukuu unapowadia Meridianbet wamekua wakija na Promosheni ambazo zinakonga nyoyo za wateja wao, Huku lengo kubwa ni kuhakikisha wanaweka tabasamu kwa wateja wao ambao wamekua wakiwasapoti kuanzia mwaka unaanza mpaka kipindi hichi mwaka unamalizika.
Mteja wa Meridianbet atapaswa kucheza michezo ifuatayo ili kuweza kushinda katika promosheni hiyo Battle for the Throne, Book of Egypty, Bounty Hunters, Spinning Biddha, The Book of Eksimo na hii ni baadhi ya michezo hiyo ipo mingi zaidi ya hii ambayo itakwenda kumpa ushindi mteja wa Meridianbet.
Promosheni hii imeanza mwezi huu wa 12 tarehe 20 ambapo itadumu kwa siku kumi na tatu kwani itafika tamati mwezi wa kwanza tarehe 02 mwaka 2024, Hivo wateja wote watatakiwa kuhakikisha wanacheza kwa wingi michezo ya kasino mitandaoni ndani ya siku hizi ili kujinyakulia zawadi.
Promosheni hii ina vigezo na masharti yake kama ilivyo promosheni zingine ambazo zimekua zikiandaliwa na Meridianbet, Kwanza kabisa unapaswa kua na akaunti ya Meridianbet, Mteja anapaswa kushiriki kupitia akaunti moja,Meridianbet inabakia na haki ya sheria za ofa wakati wowote lakini pia ina uwezo wa kusitisha ofa hiyo.
Cheza michezo ya Kasino mitandaoni kila siku uweze kujishindia zawadi mbalimbali haswa katika kipindi hichi cha sikukuu ambapo Meridianbet wametoa Promosheni mbalimbali ukicheza michezo ya Kasino mitandaoni kama Book of Eksimo, Book of Egypty, Pinata Loca, Piggy Party.
ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
No comments:
Post a Comment