HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 14, 2023

BETI MECHI ZA EUROPA NA MERIDIANBET LEO

 

ALHAMIS ya leo, mechi za Europa zinaendelea kwa hatua ya mwisho ya makundi, na kila timu ina malengo yake kwenye hiyo mechi ya mwisho ya leo kwani kwa baadhi ya timu hii ndio mechi ya maamuzi abaki kwenye michuano hii, aende Konferensi League nakadhalika. Bashiri sasa upata pesa hapa.

Leo hii tunaenda moja kwa moja hadi Ujerumani katika dimba la BayArena ambapo Bayer Leverkusen chini ya kocha mkuu Xabi Alonso atamkaribisha Molde huku mechi ya kwanza walipoonana Leverkusen alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 1.32 kwa mwenyeji na 7.64 kwa mgeni. Pesa yako unaiweka wapi hapo?

Ukiachana na mechi ya huyo Mjerumani, mechi nyingine ya pesa ni kati ya Union Saint-Gilloise dhidi ya Liverpool ya Klopp. Jogoo ana ODDS 2.84 kwa 2.27 huku tofauti ya ponti kati yao ikiwa ni 9. Liver atamaliza kundi kwa kupoteza? Bashiri mechi hii Meridianbet.

Usiishie kubashiri Europa tuu, cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inayotolewa hapa kama vile Aviator, mchezo pendwa kwasasa na ni rahisi sana, Poker, Keno Roullette na mingine kibao ya Sloti. Ingia mchezoni na ucheze sasa upate Bonasi za Kasino.

Pesa nyingine ipo kwa vijana wa Mourinho AS Roma dhidi y FC Sheriff katika Stadio Olimpico, Rome ambapo Waitalia hao wanatafuta pointi hii leo wamalize kundi kama vinara. Huku mpinzani wake akiwa na alama moja pekee. Je Roma wanaweza maliza kundi kileleni? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili na ubeti.

Uhondo mwingine upo kwenye mechi ya Slavia Prague dhidi ya Servette Geneva ambao hawajashinda mechi yoyote hadi sasa. Mechi hii imepewa ODDS 1.34 kwa 8.42, Je mwenyeji atamaliza akiwa kinara au vijana wa Mourinho watawashinda. Bashiri mechi hii.

Katika Kundi A, Westham United watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Freiburg ya Ujerumani huku timu hizo zikiwa zimefungana pointi yani wote wana 12. 1.81 ndio ODDS ya Wagonga Nyundo wa London huku 3.92 ya mgeni. Nani kupaa kileleni. Suka mkeka wako chapu.

Chungu Tamu nyingine ipo kwenye mechi ya Stade Rennes dhidi ya Villarreal ambao wote wanataka kukaa kileleni ili kupata unafuu mechi ya 16 bora. Mfaransa ana ODDS 2.07 na Mhispania amepewa 3.33. Walipokutana, Nyambizi wa Njano alishinda. Leo mwenyeji atalipa kisasi? Bashiri na Mabingwa hapa.

Vilevile vijana wa Roberto De Zerbi, Brighton & Hove Albion watakuwa nyumbani kukimbiza dhidi ya Olympique Marseille tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1 pekee na wote wanawania kukaa juu. 1.63 na 4.80 ndio ODDS za mechi hii. Ingia na usuke mkeka hapa.

Nao Ajax Amsterdam watawaalika AEK Athens huku timu hizo zikiwa hazina mpango wa kuendelea na michuano ya Europa na sasa wanatafuta nafasi ya kuwania Konferensi league. Mechi hii ina machaguo mengi Meridianbet. Tengeneza jamvi lako la ushindi hapa.

Kundi C mechi ya moto sana ni kati ya Real Betis dhidi ya Rangers katika dimba la Benito Villamarin wakitofautiana pointi 1 pekee. Mara ya mwisho walipoonana Mgeni alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 1.78 kwa 4.21. Nani ni nani leo?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad