HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 5, 2023

WIKIENDI NYINGINE YA KUPIGA MKWANJA NA MERIDIANBET

NI wikiendi nyingine ya kupiga mkwanja na mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet kwani itapigwa michezo ya kutosha jumapili hii ambayo itakuwezesha kuvuta mkwanja wa kutosha.

Jumapili hii ligi zote kubwa barani ulaya na hata Tanzania itapigwa michezo mikali ambayo itakuwezesha wewe mteja wa Meridianbet kujipigia mkwanja wako safi kabisa, Kwani michezo hiyo imepewa ODDS KUBWA na kutosha.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Ligi kuu ya Uingereza, Hispania, Ufaransa, Italia, Ujerumani, NBC Tanzania michezo mikali itapigwa kama kawaida ni muda wa kufanya machaguzi yako ili uweze kuondoka na kitita cha kutosha kupitia Meridianbet.

Pale ligi kuu ya Uingereza EPL itapigwa michezo kadhaa mikali ambapo majogoo wa Anfield klabu ya Liverpool leo watashuka dimbani kukipiga na klabu ya Luton Town, Huku Aston Villa ya Unai Emery iliyo kwenye kiwango bora kabisa ikiwa ugenini kumenyana na Nottingham Forest.

La liga ligi kuu ya Hispania klabu ya Valencia wao watakua dimbani kwao pale Mestalla kuwakaribisha klabu ya Granada, Huku Villarreal wakikipiga na Athletico Bilbao, Real Madrid wao watakua Santiago Bernabeu kuwakaribisha Rayo Vallecano.

Serie A ligi kuu ya Italia moto utawaka leo ambapo As Roma baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Inter Milan leo watacheza na klabu ya Lecce katika dimba lao la Olympico, Juventus wakiwa kwenye fomu nzuri hivi karibuni watakua ugenini kukipiga na klabu ya Fiorentina.

Ligi kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1 pia kutakua na michezo mikali jumapili hii ya kujipigia mkwanja ambapo Monaco watashuka dimbani kukipiga na Brest, Huku Olympique Lyon iliyo kwenye hali tete kwenye ligi hiyo wakiikaribisha Metz, Mechi kali ya kufungia diku itakua kati ya Nice dhidi ya klabu ya Stade de Rennes.Ligi kuu ya NBC Tanzania bara utapigwa mchezo mkali sana leo ambapo utawakutanisha mahasimu wawili wababe wa soka la Tanzania kati ya klabu ya Simba dhidi ya Yanga, Huku mchezo huo ukipewa ODDS KUBWA na kabambe kabisa ambapo wewe mteja wa Meridianbet unaweza kuchukua mkwanja wako kibabe kabisa leo.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad