HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 2, 2023

Rais Samia katika Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC), Kigali nchini Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad