HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 10, 2023

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA SAUDI ARABIA NA NCHI ZA AFRIKA UNAOFANYIKA JIJINI RIYADH

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye pamoja na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema kabla ya kuingia kwenye Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kabla ya kuingia kwenye Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad