HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 17, 2023

RAIS SAMIA AMPOKEA NA KUZUNGUMZA NA MGENI WAKE RAIS WA ROMANIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023 .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimtambulisha Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis kwa viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.
Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023 .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa katika mapokezi Rasmi yaliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.

Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad