HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 17, 2023

RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE AZINDUA MPANGO WA KUANZISHA HUDUMA HARAKISHI ZA WATOTO WACHANGA NA WALIOZALIWA NA UZITO MDOGO

 

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata keki na baadae kuwapa wadau wa sekta ya afya baada ya kuzindua Mpango Harakishi wa Kuanzisha Huduma za Watoto Njiti na Watoto Wachanga Tanzania katika siku ya mwisho ya Mkutano wa Pili wa Kisayanzi ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto uliofanyika kwa siku tatu kwenye Ukumbi wa Kimataifa  wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.


 

 Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na wadau wa sekta ya afya wakirusha maputo kama ishara ya  kuzindua Mpango Harakishi wa Kuanzisha Huduma za Watoto Njiti na Watoto Wachanga Tanzania katika siku ya mwisho ya Mkutano wa Pili wa Kisayanzi ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto uliofanyika kwa siku tatu kwenye Ukumbi wa Kimataifa  wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
 

 Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiaga wadau wa sekta ya afya  kuzindua Mpango Harakishi wa Kuanzisha Huduma za Watoto Njiti na Watoto Wachanga Tanzania katika siku ya mwisho ya Mkutano wa Pili wa Kisayanzi ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto uliofanyika kwa siku tatu kwenye Ukumbi wa Kimataifa  wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad