HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 24, 2023

LIGI ZIMERUDI IJUMAA YA MAOKOTO NA MERIDIANBET




LIGI ya Mabingwa Afrika inaanza leo kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti Algeria, na Misri kutawaka sana kwa michezo miwili hatari, Yanga waliopo kwenye kiwango bora sana kwa misimu miwili wakiwa wamecheza mpaka fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kupoteza dhidi ya USM Alger.

Jeshi la jangwani kutoka Tanzania litaingia uwanja wa vita kuvaana na wenyeji CR Belouzdad, kutambua ukubwa wa mechi hii Meridianbet wamempa Yanga odds kubwa za ushindi 5.09 huku sare ikiwa na 3.28, Yanga ana rekodi nzuri ya kushinda mechi nyingi za ugenini upande wa mashindano ya kimataifa.

Historia ya Misri imebebwa na vitu vingi sana, kwanza kabisa utawala wa mafalao na uwepo wa Mapiramidi mengi sana ambayo yanatumika kuelekezea utamaduni na historia ya Misri.

Upande huo wa mashariki mwa Cairo ndio maskani ya timu tajiri Afrika Pyramids FC leo watakipiga na Kunguru weupe TP Mazembe kutoka DR Congo. Kwa mechi zakeo mbili tu ukibashiri pale Meridianbet unapata odds kubwa ambapo Mazembe amepewa odd ya 6.07 ashinde ugenini, je ataweza?

Meridianbet ina michezo mingi ya Kamari, sloti na kasino mtandaoni kama sio mpenzi wa kubashiri soka, unaweza kucheza sloti na kasino mtandaoni ili kujiweka sehemu nzuri ya kushinda pesa.

Sio lazima mechi za kimataifa hata Ligi kuu ya NBC inalipa sana kama utabeti na Meridianbet, leo kuna mechi kama Azma FC vs Mtibwa Sugar, Dodoma Jiji vs Singida Fountain Gates, odds kubwa mechi hii zimetolewa kwa kila timu 2.29 ushindi kwa mwenyeji, sare ina 2.89 na ushindi kwa mgeni una 2.89

Laliga nako kumenoga sana, Deportivo atamkaribisha Granada CF mwenye odds kubwa ya 4.60 akishinda leo. Ni rahisi kucheza na kushinda Meridianbet una chaguo mpaka la kucheza kasino mtandaoni, sloti nk.

PSG inawakaribisha AS Monaco kwenye dimba lao, wakati huo wakiwa na rekodi nzuri ya kushinda mechi 5 mfululizo za nyumbani, Je ataweza kumfunga na Monaco aliyepo nafasi ya 3 kwenye msimamo. Bashiri kibingwa kwa odds kubwa na ushinde kirahisi Meridianbet.

Unaanzaje kuziacha odds kubwa kama hizi ukimpa Cologne ashinde 9.64, chaguo la sare lina odds kubwa ya 6.86 wakati huo Bayern Munich akiwa ugenini. Pia una nafasi ya kushinda Zaidi kama utacheza michezo ya sloti na kasino mtandaoni kupitia Meridianbet APP au tovuti ya Meridianbet.co.tz

NB: KWA 500 TU UNAPATA BAJAJI MPYAA UKIBETI NA KITOCHI MERIDIANBET MWEZI HUU WA NOVEMBA, PROMOSHENI HII YA BAJAJI MIA5 INAISHA MWISHO WA MWEZI HUU, KUWA MMOJA KATI YA WASHINDI WA BAJAJI NA ZAWADI KIBAO KWENYE PROMOSHENI HII KWA KUBASHIRI NA MERIDIAN

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad