HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 21, 2023

ACHRAF HAKIMI ATUA BONGO NA KISA CHA MKEWE, CHEZA KASINO

 


UNAKIKUMBUKA kisa cha mchezaji wa timu ya taifa ya Morocco na PSG Achraf Hakimi na mkewe Hiba Abouk kudai nusu ya mali za mume wake baada ya kutalakiana.

Mchezaji huyo leo atashuka uwanja wa Benjamin Mkapa na timu yake ya taifa ya Morocco mchezo wa kufuzu kombe la dunia, meridianbet wameupa mchezo huu odds kubwa huku upande wa pili unapiga pesa unapocheza kasino mtandaoni.

Kesi yao ya madai ya talaka ilipelekwa mahakamani Machi 2023 ambapo Bi Hiba alidai kwamba anataka kulipwa pesa na nusu ya mali, lakini baadae ilikuja kufahamika kwamba 80% ya mali za Hakimi zimeandikwa jina la mama yake mzazi. Miliki bajaji mwezi huu Novemba kwa Jero tu ukibashiri mechi mbalimbali ikiwa na odds kubwa.

Kuelekea mchezo huu wa kutafuta tiketi ya kuwania kombe la dunia, akifanya mahojiano na waandishi wa habari Achraf Hakimi alisema kwamba wanafahamu Tanzania ni timu nzuri lakini hata wao ni wazuri na hivyo wataingia uwanjani kupambana kushinda.

Mechi hii ina odds kubwa meridianbet na kama sio mpenzi wa kubashiri unaweka kucheza sloti na michezo mingi ya kasino mtandaoni kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda mamilioni ya Meridianbet na wewe utambe kama Achraf Hakimi.

Je ikitokea umebashiri au kucheza kasino mtandaoni na kushinda mamilioni utaandika jina la mama yako kama mmiliki wa mali zako, au utaandika jina lako?

Hakimi Achraf na mkewe Hiba Abouk walianza uchumba na mapenzi mwaka 2018 na miaka miwili mbele yaani 2020 walifunga ndoa ya kiislamu ambapo, walijaliwa kupata watoto wawili. Mgogoro wao wanandoa hawa ulikuja baada ya mchezaji huyo kuhusishwa na masuala ya ubakaji.

NB: Mwezi huu wa Novemba ni mwezi wa kufurahi na promosheni za Meridianbet kasino mtandaoni, kupitia mchezo wa Aviator unatoa nafasi ya beti za bure kila siku kwa wachezaji 10 wenye bahati, kuwa mmoja wa wanufaika kwa kucheza Aviator.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad