HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 1, 2023

Zahanati Kijitonyama Yapokea Msaada Kutoka Meridianbet

 


KAMPUNI nguli ya michezo ya kubahatisha Meridianbet leo imefika maeneo ya kijitonyama jijini Da-es-salaam na kutoa msaada kwenye Zahanati inayopatikana katika eneo hilo, Ambapo wametoa msaa2da wa vifaa vya usafi na vifaa vya Wamama wajawazito.

Mara kwa mara Meridianbet wamekua wakijitahidi kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii yake na ndio maana hua wanafika katika maeneo mbalimbali yenye uhitaji, Kama ambavyo leo wamefika Zahanati na kutoa msaada wa vifaa vya usafi na vifaa vingiine vitakavyowasaidia wamama wajawazito hospitalini hapo.

Awamu hii wababe hao wa michezo ya kubashiri wameigusa jamii kwa namna yake kwani wametoa vifaa vya usafi, Lakini hawakuishia hapo ambapo wamehakikisha wanagusa na kundi lingine baada ya kutoa na vifaa vitakavyowasaidia wamama wajawazito

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullete, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Igram ndie aliyeratibu tukio zima la utoaji wa vifaa hivyo hospitalini hapo na aliweza kuzungumza kwa uchache kwa niaba ya taasisi “Kwanza kabisa nipe kuwashukuru uongozi wa Zahanati hii kwa kutupokea kwa ukaribu kabisa, Lakini pia kama Meridianbet tunayo furaha kufika hapa na kutoa vifaa hivi ambavyo tunaamini vitaimarisha usafi hapa lakini vitawasaidia Mama wajawzito watakaofika hapa”.

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Mbali na Muwakilishi wa Meridianbet kuzungumza lakini pia muwakilishi wa Zahanati hiyo anayefahamika kwa jina la Beatrice Sangiwa ameishukuru sana Meridianbet na kuwataka makampuni mengine kuiga mfano kwa kampuni hiyo” "Naishukuru sana Meridianbet kwa msaada huu kwani utaenda kumsaidia mama mjamzito wakati wa kujifungua na baada ya kujifungua, huu ni mfano wa kuigwa kwa makampuni mengine"

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad