HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 10, 2023

TANZANIA COMMERCIAL BANK YAANDAA CHAKULA CHA JIONI KWA AJILI YA WATEJA WAKE MAADHIMISHO WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA

 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Commercial Bank ambaye ni Mkurugenzi wa Tehama Bw. Jema Msuya akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja ambapo benki hiyo pia iliandaa chakula cha jioni kwa ajili ya wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maofisa wa Tanzania Commercial Bank pamoja na wateja wa benki hiyo wakiwa katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Commercial Bank ambaye ni Mkurugenzi wa Tehama Bw. Jema Msuya (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa benki hiyo wakati wa chakula jioni kilichoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad