HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 17, 2023

PIGA MKWANJA WA MAANA NA MECHI ZA EURO LEO HII

 MECHI mbalimbali za kufuzu michuano ya Euro mwakani zinaendelea kama kawaida ambapo kama hukubahatika kupiga mkwanja siku tatu hizo zilizopita basi leo mambo iko huku. Ingia www.meridianbet uanze kuutafuta umilionea sasa.


Mechi za pesa leo pale Meridianbet ni hizi hapa ambapo ya kwanza itakuwa ni kati ya Uingereza dhidi ya Italia ambao timu hizo zote zipo nafasi za juu na zina uwezekano wa kufuzu kutokana na pointi walizonazo. Muingereza amepewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii akiwa na ODDS ya 1.77 kwa 5.09. Wewe beti yako unampa nani hapa?

Mechi nyingine itakuwa ni kati ya Malta dhidi ya Ukraine katika dimba la Ta’ Qali huku Malta akiwa ni kibonde wa kundi akiwa hajashinda mechi yoyote mpaka sasa na mgeni akiwa na pointi zake 10. UK kushinda mechi hii amepewa ODDS ya 1.19 kwa 12.74. Suka jamvi lako hapa.

Huku ukiendelea kucheza mechi hizi kumbuka sasa Meridianbet wamesikia ombi lako na wamekuletea Jackpot baab kubwa ambayo sasa ni Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau la shilingi 1000 pekee. Ingia na ubashiri mechi zako 13 uweze kupiga mkwanja huo. Na kwa wale wa USSD au kitochi menyu ni *149*10# bashiri na Meridianbet wakati wowote mahali popote.

Kivumbi kingine kitakuwa katika kiwanja cha Rajko Mitic Majira ya saa 3.45 ambapo Serbia atamkaribisha nyumbani kwake Montenegro huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 2 tuu. Mara ya mwisho kukutana Mserbia alishinda mechi hiyo. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi ugenini? Mechi hii ina machaguo mengi Meridianbet. Ingia na ucheze sasa.

Wakati huo huo Hungary ambaye ndiye kinara wa kundi G akiwa na pointi 13, atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Lithuania ambaye amepewa ODDS ya 8.03 sare ikipewa 4.11 na ushindi wa mgeni ukiwa na 1.32. Mwenyeji yupo nafasi ya 4 akiwa na pointi zake 5. Suka jamvi lako na ubashiri mechi hii.

ODDS ya 2.35 amepewa Slovenia leo hii akiwa ugenini dhidi ya Northern Ireland ambaye kapewa 3.14. Ikumbukwe kuwa Slovenia anaongoza kundi hilo akiwa na pointi zake 16 na mwenyeji akiwa na pointi 6 pekee. Je mwenyeji anaweza akaharibu ushindi wa leo wa mgeni? Machaguo mengi yanapatikana hapa.

Mida hiyo hiyo San Marino atamleta nyumbani kwake Denmark ambaye yupo nafasi ya pili akiwa na pointi 16 sawa na kinara wa kundi hilo tofauti yao ikiwa ni magoli ya kufunga na kufungwa. Mwenyeji hajashinda mchezo wowote mpaka sasa. Weka mkeka wako sasa.

Naye Finland atakuwa dimbani leo kucheza Kazakhstan huku wote wakiwa wamecheza michezo 7 na wana pointi sawa 12, huku kinachowatofautisha ni magoli ya kufunga na kufungwa. Mara ya mwisho kukutana Finland waliibuka na ushindi. Je leo hii ni zamu ya mgeni kuondoka na pointi 3? Beti mechi hii sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad