HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 29, 2023

NI MANCHESTER DERY YA MAOKOTO

 

EEEEH bwana wee Jumapili kuna mchezo mmoja wa kikubwa sana nao sio mwingine ni Manchester derby kati ya Manchester United dhidi ya Manchester City mchezo ambao umepewa ODDS BOMBA pale Meridianbet na kukufanya wewe mteja kupiga maokoto ya kutosha.

Jumapili hii Manchester United wataikaribisha Manchester City katika mchezo wa derby utakaopigwa katika dimba la Old Trafford, Ambapo mchezo huu unaweza kua sehemu ya kuirejeshea Manchester United hali ya kujiamini ambayo wamepoteza hivi karibuni.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Vilabu hivi kutoka jiji la Manchester kila vinapokutana mchezo hua ni mgumu ikiwa haijalishi ni nani yupo kwenye ubora, Hivo mchezo wa kesho unatarajiwa kua wa kukata na shoka na uzuri pale Meridianbet mchezo huu unapatikana hivo unaweza kubashiri mchezo huu na ujipigie mkwanja wako.

Mbali na Manchester Derby lakini Jumapili itakua imepambwa na michezo mingine mikali kutoka katika ligi mbali mbali barani ulaya kuanzia pale Uingereza, Hispania, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na hata Uholanzi.

Jumapili kutakua na mchezo wa kibabe sana pale kwenye ligi kuu ya Uingereza ambapo klabu ya Aston Villa watakua dimbani kumenyana na Luton Town ikisubiriwa kama vijana wa Unai Emery wataendeleza dozi, Lakini wagonga nyundo wa London nao klabu ya Westham United watakua nyumbani kumenyana na klabu ya Everton, Mchezo mwingine ambao unaweza kukupa maokoto ni mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Nottingham Forest.

Pale Italia Jumapili itakua ya kikubwa na ya kibabe kabisa ambapo klabu ya As Roma itakua nyumbani katika uwanja wao wa Estadio de Oylimpico kuwakaribisha klabu ya Inter Milan kila mmoja akihakikisha anapata matokeo mazuri ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi kuu ya Italia, Mchezo mwingine wa kukata na shoka pale Serie A utakua kati ya klabu ya Napoli ambao watakua nyumbani kuikaribisha Ac Milan ambayo imetoka kupoteza mchezo uliopita hivo mchezo huu utakua sehemu ya kutaka kurejea kwenye njia ya ushindi.

Balaa lingine litakua pale Uholanzi ambapo itapigwa bonge la mechi ambayo mchezo wa mahasimu wakubwa nchini humo klabu ya PSV Eindhoven wakicheza na Ajax Amsterdam ambayo kwasasa imeonekana kushuka ubora kwa kiasi kikubwa, Lakini kwakua mchezo huu ni wa mahasimu unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad