HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 18, 2023

MJUMBE KAMATI UTEKELEZAJI JUMUIYA YA WAZAZI SINGIDA AKABIDHI MIFUKO YA SARUJI

 

MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Singida Ahmed Misanga amekabidhi mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania( UWT) Wilaya ya Ikungi katika mkoa huo Martha.

Mifuko ya saruji imekabidhiwa leo tarehe 18 Oktoba 2023 katika Wiki ya Maadhimisho ya UWT na Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ikungi Hawa Kisuda aliyekabidhi kwa niaba ya Misanga.

Maadhimisho ya Wiki ya UWT kimkoa imefanyika katika Wilaya ya Ikungi hivyo Misanga ameona kuna kila sababu kutoa mifuko ya saruji na kumkabidhi mtumishi huyo kama sehemu ya kutambua mchango wake katika jumuiya hiyo. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad