HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 2, 2023

MERIDIANBET JICHUKULIE MAOKOTO UKIONGEZA SALIO KUPITIA HALOPESA

 


JE, unataka kushinda zawadi za kuvutia kama pikipiki, simu au mizunguko ya bure? Je, unapenda kubashiri michezo au kucheza sloti na kasino mtandaoni? Basi usikose nafasi hii ya kujiunga na Promosheni hii mpya kutoka Meridianbet.

Promosheni ya “Jichukulie Maokoto na Halopesa” Inafanya kazi pale ambapo mteja wa Meridianbet ataweka pesa TZS 10,000 au zaidi, na ubashiri tiketi ya michezo au ucheze michezo yoyote ya kasino mtandaoni yenye msisimko na thamani ya angalau TZS 10,000.

Kwa kufanya hivyo utapata nafasi ya kushinda mizunguko 125 ya bure kila siku kwenye mchezo wa kasino mtandaoni wa PIA, simu Janja zitatolewa za kutosha huku ukiingia kwenye droo kwenye za wiki, ya zawadi kubwa ya Pikipiki.

Usikose fursa hii ya kushinda zawadi kibao ukiweka na Halopesa Weka pesa na ubeti sasa!

Mchanganuo wa zawadi kwenye promosheni hii, uko hivi;

• Mizunguko 125 ya bure kwenye mchezo wa kasino mtandaoni unaoitwa PIA, itatolewa kwa wachezaji wote ambao wataweka kuanzia Tsh 10,000/= au zaidi kupitia Halopesa kwa namba ya biashara hii (656565) au ukiwa kwenye website na App na kubashiri au kucheza kasino mtandaoni kwa kiasi sawa na hicho kila siku.

• Simu zitatolewa kwa wachezaji wenye jumla ya juu ya amana kupitia Halopesa wakati wa kipindi chote cha promosheni hii. Pia simu zitatolewa kila Ijumaa ndani ya kipindi cha promosheni kuanzia tarehe 15 September 2023. Jumla ya simu 20 zitatolewa ndani ya kipindi kizima cha Promosheni

• Cashback/Rejesho ya 10% ya jumla ya pesa za wachezaji walizopoteza kutoka Jumatatu hadi Jumapili zitawekwa kwenye akaunti za wachezaji, ambao watapoteza zaidi ya 2,500,000/= ndani ya wiki hiyo maalum ya promosheni hii.

• Bonasi ya 10% ya jumla ya pesa za wachezaji walizopoteza kutoka Jumatatu hadi Jumapili zitawekwa

kwenye akaunti za wachezaji, ambao watapoteza chini ya 2,500,000/= ndani ya wiki hiyo maalum ya promosheni hii.

• Zawadi kuu za Pikipiki zitatolewa kupitia droo kuu, na washindi watachaguliwa bila mpangilio kutoka kwenye orodha ya wachezaji ambao wameshiriki promosheni hii na kukidhi Vigezo na masharti yake

• Droo ya Pikipiki ya kwanza itafanyika tarehe 15 September 2023 katika Makao Makuu ya Meridianbet pale Upanga.

• Droo Pikipiki ya pili itafanyika tarehe 15 November 2023 katika Makao Makuu ya Meridianbet pale Upanga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad