HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 26, 2023

MCHONGO NI UEFA EUROPA LEAGUE ALHAMISI HII

 

MCHONGO pekee ulioabaki baada ya purukushani za ligi ya mabingwa ulaya ni Uefa Europa League ambayo itapigwa Alhamisi hii na viwanja mbalimbali vitawaka kuhakikisha miamba ya soka inapata matokeo.

Wakati miamba ya soka ikiwa inatafuta matokeo katika viwanja mbalimbali kwenye michuano ya Uefa Europa League, Lakini wewe mteja wa Meridianbet pia unaweza kugeuka mwamba pale ambapo utabashiri michezo yako na kuweza kupiga mkwanja na mabingwa wa michezo ya kubashiri wenye ODDS KUBWA.

Michezo yote ya Uefa Europa League itakayopigwa Alhamisi hii imepewa ODDS KUBWA na ni fursa kwako wewe mteja wa Meridianbet kuhakikisha unapiga mkwanja wa kutosha katika wiki hii ya michuano ya ulaya.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Klabu ya Liverpool baada ya kushinda michezo yake miwili ya awali awamu hii watakua nyumbani katika dimba lao la Anfield kumenyana na klabu ya Toulouse ya nchini Ufaransa kuhakikisha wanapata alama tatu muhimu ili waendelee kileleni kwenye kundi E.

Mabingwa wa kombe la Uefa Conference league msimu uliomalizika klabu ya Westham United wagonga nyundo kutoka jiji la London watakua ugenini nchini Ugiriki kumenyana na klabu ya Panathaikos katika kuhakikisha wanaendelea kukaa kileleni kwenye kundi lao.

Bila kuwasahau wanafainali wa michuano hii msimu uliomalizika klabu ya As Roma chini ya kocha Jose Mourinho watakua nyumbani katika dimba lao la nyumbani la Estadio de Olympico wakiwakaribisha klabu ya Slavia Prague katika mchezo huo mkali wa michuano ya Uefa Europa League.

Vinara wa ligi kuu ya Ujerumani klabu ya Bayern Leverkusen nao watashuka dimbani kumenyana na klabu ya Qarabag FK katika mchezo mkali wa michuano hii ambao umepewa ODDS KUBWA kwa timu zote kubwa pale Meridianbet unaweka mkeka wako sasa uchukue maokoto yako na michuano ya Europa League.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad