Kamera ya Mtaa kwa Mtaa katika pitapita zake iliweza kunasa taswira hizi za wadau wakiwa wamekula pozi la kivulini kando ya kituo cha magari yaendayo kwa haraka kilichopo Mbagala Rangi tatu, ikiwa ni kujikinga kwa jua kali linaloendelea kuwaka kwa kasi ya namna yake.
No comments:
Post a Comment