
Hivi karibuni katika misele ya Mzee wa Mtaa kwa Mtaa, aliibukia maeneo ya Newala huko mkoani Mtwara, ambapo pamoja na misele yake yote hapa nchini hii ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kufika katika wilaya hiyo. Hivyo akavutika kupata taswira kadhaa za katikati ya mji huo na kuzileta hapa mtaani kama ilivyo kawaida yake ya toka zamani.
Hapa pichani huitaji kuwa na maelezo mengi, mzee yupo zake na mamsapu barazani, chombo kipo pembeni kusuiri abiria.
No comments:
Post a Comment