HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 7, 2023

BENKI YA CRDB TAWI LA UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

 

Branch Manager Benki ya CRDB tawi la Ubungo,Hollo Buyamba akizungumza na wateja pamoja na  wafanyakazi benki siku ya Wiki ya Huduma kwa Wateja leo jijini Dar es Salaam. ( PICHA NA EMMANUEL MASSAKA WA MMG )
Branch Manager Benki ya CRDB tawi la Ubungo,Hollo Buyamba (kulia) akipokea zawadi kwa mmoja wa wateja wa benki hiyo, mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa sherehe za Wiki ya Huduma kwa wateja wa benki hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Ilikuwa ni fursa ya pekee kwa wafanyakazi hawa wa Benki ya CRDB kupiga picha mbali mbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja  leo jijini Dar es Salaam.

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad