HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 22, 2023

SHINDA BODABODA UKICHEZA MICHEZO YA KENO

 


KAMA ulijua imeisha basi futa kabisa, bado zawadi kibao zinaendelea kutoka pale Meridianbet, na mara hii wanatoa Bodaboda mpyaa kwa wateja watakaocheza michezo ya Keno iliyopo Meridianbet kasino mtandaoni au kwenye maduka ya ubashiri ya Meridianbet.

Kila wiki kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili washindi watakaocheza mfululizo michezo ya keno watapata zawadi kama vile Bodaboda, Samsung A32 pamoja na pesa taslim kwa dau dogo tu kuanzia Tsh 1000/=

Maelezo Mafupi Kuhusu Keno ya Meridianbet.
Mchezo wa Keno ya Meridianbet kasino ya mtandaoni una jumla ya namba 80, ambapo namba kuanzia 10 hadi 20 huchezwa kwa kutegemeana na aina ya Keno unayocheza kuna Hot Keno, Keno Instant. Lengo la mchezo ni kubashiri idadi kubwa ya namba zitakazotokea/zitakazochaguliwa kadri iwezekanavyo, hasa kubashiri namba zote.

Hata hivyo, hata kama hautofanikiwa kubashiri namba zote, pia unaweza kushinda pesa kulingana na idadi ya namba ulizochagua kutokea.

Michezo ya Keno ina chaguo la Autoplay unaweza kucheza mfululizo bila kukatisha mzunguko.

Jinsi ya Kucheza Hot Keno

Unachohitajika kufanya ni kuandaa mchanganyiko/mpangilio wa namba mbili hadi namba kumi na kuanza mchezo.

Chagua namba zako pendwa au angalia uchezeshaji wa awali na cheza kwa kubashiri namba ambazo unadhani zitatokea kwenye gurudumu la namba.

Ikiwa hauwezi kuamua, hiyo pia sio tatizo. Chagua mchanganyiko wa namba unazotaka kucheza, na kisha chagua kitufe cha uteuzi nasibu (random selection).Tiketi za pesa halisi pekee ndio zitakazohesabika katika promosheni hii. Dau la chini kwa tiketi ambalo litahesabika kwenye promosheni hii ni TSh 1,000+ Wateja watavuna alama kwenye kila tiketi na kila bashiri ya TSh 1,000

Kila tiketi ya TSh 1,000 mteja atapata alama 5
Kila dau la TSh 1,000 TZS mteja atapata alama 15 ( endapo ataweka beti dau la TSh 3000, atapata alama 45 ya dau + alama 5 za beti = alama 50)

Endapo wachezaji wawili wamefungana alama, kucheza mara nyingi mfululizo kutatumika kupata mshindi, mchezaji aliyecheza mara nyingi mfululizo atakuwa mshindi.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad