HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 6, 2023

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI KANDO YA MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI AFRICA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Ban Ki-Moon kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Ban Ki-Moon mara baada ya mazungumzo kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi kutoka nchi mbalimbali kando ya mkutano Mkuu wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) Akinwumi Adesina kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Angola Mhe. Esperanca Maria Eduardo da Costa mara baada ya mazungumzo kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) Bw. Thomas Östros kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Mwandamizi wa Benki ya Dunia Bw. Axel van Trotsenburg kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Korea Kusini Mhe. Jang Sung Min pamoja na ujumbe wake aliombatana nao kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mikutano mbalimbali kando ya mkutano Mkuu wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad