Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda wakijadiliana na Waziri wa Zamani na Mwanasiasa Mkongwe Steven Wasira kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama Vya Siasa na Wadau wa Demokrasia kutathimini utekelezaji wa mapendekezo ya Kikosi Kazii na Hali ya Siasa Nchini unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Askofu Bagonza na Askofu Mwamamakula wakifatilia mjadala katika Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama Vya Siasa na Wadau wa Demokrasia kutathimini utekelezaji wa mapendekezo ya Kikosi Kazii na Hali ya Siasa Nchini unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya matukio katika Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama Vya Siasa na Wadau wa Demokrasia kutathimini utekelezaji wa mapendekezo ya Kikosi Kazii na Hali ya Siasa Nchini unaofanyika jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment