Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza akichangia jambo wakati wa majadiliano katika Mkutano Kimataifa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.
Rais Samia Suluhu Hassan akifuatilia majadiliano katika Mkutano Kimataifa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023. Baadhi ya Viongozi mbalimbali wakiwa katika Mkutano Kimataifa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano Kimataifa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.Matukio katika picha kutoka katika Mkutano Kimataifa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.
No comments:
Post a Comment