HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 20, 2023

HISTORIA IMEANDIKWA KWA MTANZANIA NOVATUS?

BAADA ya Mbwana Samatta kuandika rekodi ya kucheza Uefa Champions League na kuifunga Liverpool ya Jurgen Klopp, huenda isiwe mwisho kwa bendera ya Tanzania kupepea kwenye ardhi ya wazungu, na pale kwenye kitovu cha Adolf Hitler moja kati ya mtu aliyeiheshimisha Ujerumani kipindi cha Vita ya kwanza ya Dunia na ya Pili.

Bendera na heshima ya taifa la Tanzania iliwekwa na kijana kutoka mitaa ya Arusha, lakini yeye alizikataa harakati za kusaka mikwanja mtaani na kuchagua kucheza soka.

Huyo sio mwingine ni Novatus Dismas Miroshi ambaye anakipiga kwenye ardhi ya Ukraine pale FC Shaktar Donetsk ambaye alimeongeza rekodi yake na baada ya kucheza na FC Porto klabu ya utotoni ya staa wa dunia Cristiano Ronaldo. Pata odds kubwa mechi za UCL zinazoendelea tena leo, ili kufurahia bonasi kibao jisajili na Meridianbet kwa kugusa hapa.

Historia imeandikwa tena kwa kijana mwingine wa kitanzania Novatus Dismas ambaye amefuata nyayo za watangulizi wake kama vile Sunday Manara, Mbwana Samatta kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya FC Porto na mchezo kumalizika kwa timu yake kupoteza mabao 1-3. Bashiri mechi mbalimbali kupitia Meridiabet odds kubwa.

Historia Fupi ya Novatus

Kutoka mitaa Fulani ya uswahilini mtoto wa mtaa huko Arusha Novatus uzao wake ulikuwa huko, akalazimika kuzikataa harakati za mtaa na kuchagua kupambani ugali wake kwenye njia ya soka.

Novatus Miroshi Dismas alisafiri mpaka Dar Es Salaam pale kwenye viunga vya Bakhresa tajiri wa maokoto kama ilivyo kwa Meridianbet matajiri wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni, machaguo kibao na michezo mingi ya sloti.

Alicheza kwa muda wa mwaka akatolewa kwa mkopo kwenda Biashara Utd ya mkoani Mara kabla ya kurudi tena Azam FC, hapo ndipo nyota ya kijana huyu wa kitanzania ilianza kung’aa kwa kuonekana na vilabu vingi vya Ulaya kama vile Maccabi Tel Aviv, Beitar Tel Aviv kisha Zulte Waregem, na sasa FC Shaktar Donetsk.

Novatus Dismas ana msaada mkubwa kwenye timu ya taifa ambapo ni mchezaji tegemezi kwa sasa anayeweza kucheza nafasi tofauti ndani ya uwanja, kama vile beki wa pembeni, beki wa tatu, winga, na kiungo wa kati.

NB: Ili kuweza kubashiri mechi hizi zenye odds kubwa na machaguo rahisi kabisa kutiki jamvi lako, unapswa kujisajili Meridianbet kwa kugusa hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad