HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 21, 2023

EUROPA KUKUPATIA MAOKOTO YA MAANA LEO HII

BAADA ya mechi za ligi ya Mabingwa kuchezwa juzi na jana, leo hii sasa Ligi ya Europa itaanza leo majira ya saa 1:45 huku timu zikichuana vikali kusaka pointi tatu ili kuwa na mwanzo mzuri kwenye makundi. Na Meridianbet wanaendelea kutoa mtonyo wa maana ukibashiri nao leo hii.

Kama ulikosa pesa siku hizi mbili basi hizi mechi za Uefa ndogo zitakupatia mkwanja kwa dau lako na machaguo ambayo utayachagua pale Meridianbet. Suka mkeka wako wa maana na uanze kubashiri na mabingwa hawa wa ODDS KUBWA Tanzania.

Liverpool ya Jurgen Klopp baada ya msimu uliopita kushindwa kufuzu kwenye Ligi ya mabingwa, hatimaye alidondokea Europa na leo hii atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Lask kutoka Austria. Nafasi kubwa ya kushinda amepewa Klopp na vijana wake akiwa na ODDS ya 1.29 kwa 8.62. Beti mechi hii ujiweke kwenye nafasi ya kuwa bingwa wiki hii.

Wakati huo huo AS Roma watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Sherrif Tiraspol ambapo takwimu zinaonyesha kuwa timu hizi mbili hazijawahi kukutana. Mourinho walikosa ubingwa huu. Je msimu huu atafika wapi na vijana wake huku akiwa amefamuongeza Romelu Lukaku kwenye kikosi chake?

Westham United ambao ni mabingwa wa Europa Conference chini ya kocha mkuu wake David Moyes watakuwa katika dimba la London kucheza dhidi ya TSC Backa Topola ya Serbia. Ushindi wa Topola Meridianbet una ODDS ya 22.54. Moyes ataacha pointi kwake?

Ili kupiga maokoto ya kutosha unapofanya ubashiri jisajili sasa na Meridianbet mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania nzima muda ndio huu kama tayari umejisajili bashiri leo hii mechi ni nyingi sana.

Mechi nyingine ya kusisimua na ya kukata na shoka ni hii hapa ambayo inakutanisha timu mbili kutoka mataifa mbalimbali yani nazungumzia kule Ufaransa na kule Uholanzi..

Olympique Marseille atakuwa ugenini dhidi ya Ajax Amsterdam huku Ajax akiwa hana mwendelezo wa matokeo mazuri kwenye ligi akiwa amecheza mechi nne mpaka sasa akishinda mechi 1 pekee sare 2 na kipigo kimoja. Mgeni yeye kule Ligue 1, amecheza 5 akishinda mbili na sare 3. Leo hii kila mtu anahitaji pointi tatu na ODDS zao haziko mbali sana mgeni amepewa 2.69 kwa 2.50. Unadhani nani ataibuka mbabe kwenye mechi hii?

Brighton ya De Zerbi baada ya kukata tiketi yake ya kushiriki michuano hii ya Ulaya yeye atakuwa nyumbani kuzichapa dhidi ya AEK Athens ya Ugiriki. Timu hiyo kutoka Uingereza ina mwendelezo mzuri sana wa matokeo kwenye ligi. Je na huku atakiwasha sana?

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Kwingineko nyambizi wa Njano Villarreal ambao wanachechemea kule LALIGA akiwa amecheza mechi 5 na kukusanya pointi 6 pekee wao watakuwa ugenini kuzichapa dhidi ya Panathinaikos. Nani kuibuka na alama tatu mechi hii. Mechi hii ina ODDS za kuvutia na machaguo zaidi ya 1000.

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Bayer Leverkusen kutoka kule Ujerumani itamkaribisha BK Haecken. Meridianbet wao wanasema Mjerumani anashinda mechi hii. Je wewe unaona nani anakupa hela mechi hii ukibashiri?

Ukiwa unaendelea kubashiri mechi hizi za Europa kumbuka ile baab kubwa yaani Jakpoti ya Meridianbet kw awale wanaoutumia vitochi au USSD inaendelea kwa dau la shilingi 1000 pekee unaweza kuvuna mkwanja wa shilingi 85,000,000 ukibashiri kw usahihi mechi zako 13. Piga *149*10# ubashiri sasa.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad