Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Viongozi wa TLS Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 14, 2023

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Viongozi wa TLS Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

 RAIS Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Viongozi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Wanachama wa Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia pamoja ns ujumbe wake katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.Viongozi pamoja baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) wakiwa kwenye Kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati alipokutana na Viongozi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad