OFISI YA MAKAMU WA RAIS, WADAU WAANDAA TAARIFA YA MKATABA WA MABADILIKO YA TABIANCHI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 15, 2023

OFISI YA MAKAMU WA RAIS, WADAU WAANDAA TAARIFA YA MKATABA WA MABADILIKO YA TABIANCHI

 

Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Sigsbert Kavishe akifungua Kikao cha kwanza cha Kamati Tendaji ya Mradi wa Kitaifa wa Kuandaa Taarifa ya Utekelezaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi kwa niaba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga ambapo ametoa wito kwa Wizara za kisekta kutoa ushirikiano katika uandaaji wa taarifa hiyo, kikao kilichofanyika leo tarehe 15 Agosti, 2023.
Wajumbe kutoka Wizara na Taasisi za Serikali wakiwa katika Kikao cha kwanza cha Kamati Tendaji ya Mradi wa Kitaifa wa Kuandaa Taarifa ya Utekelezaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi kilichofanyika leo tarehe 15 Agosti, 2023.
Wajumbe kutoka Wizara na Taasisi za Serikali wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Kikao cha kwanza cha Kamati Tendaji ya Mradi wa Kitaifa wa Kuandaa Taarifa ya Utekelezaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi kilichofanyika leo tarehe 15 Agosti, 2023.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad