Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Elibariki Bajuta, amezungumzia uhusiano wa usalama wa chakula na sekta ya utalii, huku Tanzania ikijiandaa kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF summit), utakaofanyika Septemba 5-8, 2023, jijini Dar es Salaam..jpeg)
.jpeg)
No comments:
Post a Comment