MADEREVA MAKUMBUSHO NA MAWASILIANO WANEEMEKA NA MERIDIANBET - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 12, 2023

MADEREVA MAKUMBUSHO NA MAWASILIANO WANEEMEKA NA MERIDIANBET

 


MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamefika kituao cha Mabasi Makumbusho na Mawasiliano na wamefanikiwa kugawa Reflectors kwa madereva wa Bajaji na Bodaboda wanaopatikana katika eneo hilo.

Lengo kubwa la Meridianbet ni kutaka kuwasaidia madereva hao katika kuwahakikishia usalama ambapo watakua wanafanya shughuli zao za kila siku, Lakini pia kuiunga mkono serikali katika kuepusha ajali barabarani.

Msimu mpya wa ligi mbalimbali barani ulaya nao umerejea rasmi na Meridianbet wanakuambia “MSIMU MPYA MZIGO WAKUTOSHA” kwa maana ya kwamba usiache kubashiri na kampuni hiyo yenye ODDS KUBWA

Mkuu wa kitengo cha Masoko kutoka kampuni ya Meridianbet Nancy Ingram alizungumza baada ya kufika maeneo hayo na kusema “Leo tumetoa vifaa vya usalama barabarani kwa madereva wa bodaboda na bajaji ambavyo ni Reflectors, Tunajua thamani ya madereva wa bodaboda na bajaji katika safari zetu, ndio maana tumeona kutoa vifaa hivi vya usalama kwa madereva wetu.

Unafahamishwa kwa kipindi hiki ambacho ligi zimerejea na “MZIGO UPO WAKUTOSHA” Meridianbet wanakuambia Jackpot ipo palepale kupitia simu za vitochi *149*10# kwa shilingi 1000 tu.

Madereva Bajaji na Bodaboda katika maeneo hayo ya Mawasiliano na Makumbusho walizungumza kwa vipindi tofauti na kuonesha kufurahishwa na msaada huo ambao kampuni hiyo imeutoa kwao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad