WANAMICHEZO MAARUFU WANAOBETI NA KUCHEZA KASINO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 4, 2023

WANAMICHEZO MAARUFU WANAOBETI NA KUCHEZA KASINO

 


KAMA ulidhani ni wewe pekee unapenda sana kubeti na kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni hali inayokufanya kujiona bila kubeti maisha hayaenda, basi futa kabisa haupo mwenyewe kuna watu kubeti ni maisha yao na wengi wao ni mastaa wakubwa tu na wenye majina makubwa, wametajirika kwa kucheza kasino ya mtandaoni na michezo ya ubashiri unayoipata Meridianbet kwa odds kubwa na sloti kibao.

Leo nakushushia mkeka wenye majina ya mastaa maarufu dunaiani wanaocheza kasino ya mtandaoni na kubeti soka na michezo mingi.

Ligi ya Kikapu Marekani- NBA
Nyota wa NBA, Shaquille O’Neal anapenda michezo ya kasino ya mtandaoni kama ile inayopatikana Meridianbet kama Poker, Aviator, Roulette, Titan Dice nk, ni moja ya nyota wa kikapu anayependa sana Kamari yeye na wengine wengi kama vile Michael Jordan.

Staa Shaquille O'Neal, mmoja ya mchezaji bora katika historia ya mpira wa kikapu – aliyepewa jina la The Big Aristotle baada ya msimu wake mzuri wa 1999-2000 ambapo alipokea Tuzo ya Mchezaji Bora zaidi anayecheza kinouma kasino ya mtandaoni.

Shaq, mtu mkubwa, ana urefu wa futi 7 na inchi 1 alinukuliwa na CNN akisema "Napenda kamari...Nacheza kamari kwa sababu ni furaha." Ana utajiri binafsi ambao ulifikia mamilioni ya dola, hazina ambayo ilifanya iwe rahisi kwake kupoteza $200,000 katika usiku mmoja wa kucheza kasino ya mtandaoni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad