Emmanuel Mallya, mmoja wa wafanyabiashara wakubwa Tanzania ambaye pia ni mdau wa masuala ya bandari na usafirishaji wa meli na malori, ameeleza kuwa uwekezaji binafsi kwenye bandari ya Dar es Salaam siyo jambo jipya lilianza tangu mwaka 2000 wakati wa utawala wa Rais Benjamin Mkapa, wakati ambapo kampuni binafsi ya TICTS ilipangishwa kuendesha eneo la makontena na ikaendelea kufanya kazi hiyo kwa miaka 22 chini ya Rais Jakaya Kikwete na Rais John Magufuli.
Thursday, July 6, 2023
Uwekezaji Binafsi Bandari ya Dar es Salaam Siyo Jambo Jipya- Mallya
Tags
# HABARI
# HABARI JAMII
HABARI JAMII
Labels:
HABARI,
HABARI JAMII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment