HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 11, 2023

UKIWEKA PESA NA SELCOM UMEJISHINDIA MIBONASI MERIDIANBET

 


IKO Hivi Meridianbet kwa kushirikiana na Selcom wamekuja na promosheni ambayo itawapa fursa wateja wao nafasi ya kupata bonasi ya kutosha katika michezo ya kasino Mitandaoni.

Unachotakiwa kufanya wewe kama mteja wa Meridianbet ni kuweka kiasi cha shilingi 15,000 au zaidi kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Selcom na ukacheza michezo mbalimbali ya Kasino Mitandaoni ambapo unaweza kupata bonasi ya michezo yenye thamani ya shilingi 1500 au mizunguko 150 kwenye mchezo utakaoucheza.

Jiweke kwenye nyumba ya washindi kwa kushiriki promosheni hii kwani watu wanashinda mamilioni kila siku katika michezo ya Kasino mitandaoni kupitia Meridianbet.

Sharti ambalo litazingatiwa zaidi ni wewe kuweka pesa na Selcom ndio utakua umefuzu katika vigezo vya kupata bonasi hizo bomba ambazo zimeandaliwa na Meridianbet.

Ofa hii itawahusu zaidi wale ambao wanapenda kucheza michezo mbalimbali ya Kasino Mitandaoni kama Piggy Party, Aviator, Poker, Roulette na mingine kibao.

Promosheni hii imeanza mwezi Julai tarehe 1 ambayo inatarajiwa kwenda mpaka tarehe 15 mwezi ambapo ndio itakua mwisho wa ofa hii.

Kitu pekee ambacho kitakupa nafasi ya kupata bonasi ya mizunguko 150 au kupewa shilingi 1500 ni kuhakikisha unaweka pesa na Selcom kwenye akaunti yako ya Meridianbet.

Vigezo na Masharti ya promosheni hii,
- Zingatia muda uliopangawa kama unataka kuwa mshindi ambapo mwisho ni tarehe 15 mwezi huu.
- Bonasi ya shilingi 1500 au mizunguko 150 ya bure itatolewa kila siku kesho yake saa saba mchana.
- Turbo cash na mfumo na tiketi za mfumo hazitastahili kupata bonasi.
- Kampeni hii itapatikana kwa wachezaji waliojisajili katika tovati ya Meridianbet au Aplikesheni yake.
- Meridianbet ina haki ya kubadili sheria au kusitisha promosheni wakati wowote.
- Vigezo na masharti kuzingatiwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad