TANZANIA NA URUSI KUENDELEZA MASHIRIKIANO SEKTA YA USAFIRI WA ANGA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 29, 2023

TANZANIA NA URUSI KUENDELEZA MASHIRIKIANO SEKTA YA USAFIRI WA ANGA


Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Usafiri wa Anga na Hali ya Hewa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Biseko Chiganga akitia saini Mikataba makubaliano ya Usafiri wa Anga baina ya Tanzania na Urusi. Anayeshuhudia kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Sheria Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA),Maria Makalla Memba. Makubaliano hayo yamefikiwa nchini Urusi mwezi Julai 2023.
Timu ya wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi pamoja na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) katika picha ya pamoja mara baada ya kukamilisha zoezi la saini Mikataba makubaliano ya Usafiri wa Anga baina ya Tanzania na Urusi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad