HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 7, 2023

Rais Samia, Rais wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera Washuhudia Utiaji Saini Mkataba wa Makubaliano kati ya Tanzania na Malawi

 Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera washuhudia utiaji Saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Tanzania na Malawi kuhusiana na mashirikiano kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Lilongwe nchini Malawi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakishuhudia utiaji Saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Tanzania na Malawi kuhusiana na mashirikiano kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) mara baada ya mazungumzo yao Lilongwe nchini Malawi tarehe 7 Julai, 2023. Aliyeketi (kulia) ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye wakisaini Mkataba huo pamoja na Waziri wa Habari na TEHAMA wa Malawi Mhe. Moses Kunkuyu Kalongashwa wa kwanza (kushoto).


Picha namba 3. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya kumbukumbu na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye pamoja na Waziri wa Habari na TEHMA wa Malawi Mhe. Moses Kunkuyu Kalongashwa mara baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kuhusiana na mashirikiano kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Lilongwe nchini Malawi tarehe 7 Julai, 2023.
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera washuhudia utiaji Saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Tanzania na Malawi kuhusiana na
mashirikiano kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Lilongwe nchini Malawi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad