WIZARA YA MALIASILI YAJA KIDIGITALI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 30, 2023

WIZARA YA MALIASILI YAJA KIDIGITALI


Mkurugenzi wa Utalii, Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Thereza Mugobi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Meneja wa Masoko ya Ndani Bodi ya Utalii Tanzania, Bw. Felix John baada ya kutembelea Banda la Wizara hiyo kwenye Maonesho ya SABA SABA jijini Dar es Salaam. 

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii, Bw. Damasi Mfugale (mwenye miwani) akipokea maelezo kutoka kwa Mratibu wa Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii,Bw. Felix John baada ya kutembelea Banda la Wizara hiyo kwenye Maonesho ya SABA SABA jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Utalii, Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Thereza Mugobi (mwenye koti la kijani) akisikiliza maelezo kutoka kwa wataalamu ndani ya banda la Wizara ya Maliasili na utalii kwenye viwanja vya SABA SABA jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad