T.Z.K ya Singida Yapatiwa Vifaa vya Michezo na Meridianbet - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 10, 2023

T.Z.K ya Singida Yapatiwa Vifaa vya Michezo na Meridianbet

 T.Z.K FC hiyo ni timu ya mpira wa miguu kutoka Singida ambayo leo hii wamepata fursa ya kuembelewa na Meridianbet na kukabidhiwa vifaa vya michezo kama vile jezi za nyumbani na ugenini, mipira na soksi ambavyo hivyo vyote vitawasaidia kwenye ushiriki wao wa michezo.

Kama tunavyojua ukiwainua vijana umeliinua Taifa, na vijana ndio nguvu ya kesho, basi Meridianbet wakaona umuhimu wa kuwafikia vijana hao na kuwakabidhi vifaa hivyo vitakavyowawezesha kwennye kushiriki mechi zao mbalimbali. Na kuona kwa kuwa wao wanajihusiha moja kwa moja na michezo kazi ikawa rahisi kabisa.

Timu nzima ya Meridianbet ilifika kwa timu hiyo ya T.Z.K FC na zoezi hilo lilifanyika vyema sana kwani walipokewa kwa shangwe na furaha tele na mpaka kukamilika wachezaji walishukuru sana Meridianbet na kuwaomba warejee tena siku nyingine kwani wana mengi ya kuwaomba wawasaidie kwenye sekta ya michezo.

Meridianbet wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuwajali vijana hasa katika soka. Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”.

*Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hiiBaada ya kutoa vifaa hivyo Afisa Masoko alitoa wosia kwa vijana hao kuaza buti kwenye vipajai ambavyo wanavyo kwani ipo siku watafika mahali ambapo walikuwa wakihitaji kufika hata kama sio leo basi kesho kikubwa nidhamu na bidii ndio inahitajika.

Nao T.Z.K FC baada ya kupokea vifaa hivyo vya michezo walishukuru sana na kusema kuwa jambo la Meridianbet kufika pale na kuwapelekea vifaa vya michezo ni neema sana kwao hivyo watazidi kufanya jitihada kwenye michezo kwani sasa wamepata vitu ambavyo walivihitaji.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Ligi mbalimbali Duniani zimeisha zimebaki chache amabzo nazo pia zinaelekea ukingoni, kwahiyo kama bado unajiuliza utabashiri wapi na kupata pesa suluhisho lipo Meridianbet wajanja wa ODDS KUBWA lakini pia michezo ya kasino ya mtandaoni ni mingi sana kama Aviator, Keno Sloti Pokker na mingine kibao.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad