Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Idunda iliyopo katika Jimbo la Kibakwe ,kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 27, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Idunda iliyopo katika Jimbo la Kibakwe ,kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 27, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Idunda iliyopo katika Jimbo la Kibakwe ,kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 27, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 27, 2023.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment