HOSPITALI ya Kalita Maternity ya Madale imepokea msaada wa vifaa vya usafi na chakula kutoka Meridianbet pamoja na KMC ambao waliwakilishwa na mchezaji wao Cliff Buyoya kwenye zoezi zima la kutoa msaada huo ndani ya hospitali hiyo kama kurejesha kwenye jamii.
Meridianbet waliwaahidi KMC kwenye mechi dhidi ya Walima alizeti Singida kuwa kila goli watatoa shilingi laki tano na timu hiyo kufanikiwa kushinda kwa mabao 2-0 na kupewa Milioni moja ambapo timu nzima iliamua kureesha kwenye jamii na kununua vifaa vya usafi kama sabauni, mafagio, ndoo za uchafu na vingine.
Wakishirikiana na Buyoya mchezaji wa KMC waliona pia ndani ya hospitali kuna wagonjwa ambao hawawezi kujinunulia chakula hivyo wakaamua kununua chakula kama mchele, sukari, unga wa ugali, mafuta ya kupikia ambavyo hivyo vyote vitakuwa msaada wa kutosha kwa hospitali nzima.
*Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii
Meridianbet wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuwajali vijana hasa katika soka. Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”.
Baada ya kukamilisha kununua vifaa hivyo safari ikaanza moja kwa moja mpaka hospitali ya Kalita na kuanza kutoa msadaa huo huku uongozi wa hospitali hiyo ukifaraijka kuona kuwa wamefikiwa na kuletewa vyakula na vifaa vya kusafi na kuahidi kuwa watahakikisha wanazingatia usafi kwaajili ya kuepuka magonjwa mbalimbali.
Pia Meridianbet imeleta mchongo wa hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Afisa Habari wa Meridianbet Bwana Matina Nkurlu akiambatana na Msimamizi wa Waandishi wa Habari Meridianbet Nancy Ingram walihakikisha kuwa vifaa hivyo vyote wanaikabidhi hospitali hiyo na kuwasihi kuwa wavitumie kwa uangalifu na wavitunze kwani vitawasaidia kwenye maisha yao ya kila siku hapo hospitali.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Baada ya kupokea vifaa hivyo hospitali hiyo kwa ujumla wauguzi na wagonjwa walifurahi sana kufikiwa na Meridianbet na kuwaletea vifaa vya usafi na vyakula kwani vitawasaidia wagonjwa waliopo hapo kwani kuna wengine hawana uwezo wa kujinunulia chakula.
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE
No comments:
Post a Comment