HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 14, 2023

MERIDIANBET YAWASILI MBAGALA

 

BODABODA wa Mbagala mpo? Meridianbet wanasema sasa ni zamu yenu na safari hii wamekuja na reflector kwaajili yenu ambazo wanaamini zitawasaidia wakati mkiendesha bodaboda nyakati zote iwe usiku mchana au hata asubuhi.

Meridianbet wanasema hawataishia hapo tuu bali watazunguka karibu kila kona ya jiji hili kutoa msaada pale ambapo panahitajika kwani wateja wao wanahitaji kile kilicho bora zaidi. Pia waendelee kutumia Meridianbet kufanya ubashiri kwani wana michezo mingi ikiwemo ya kasino.

Reflector hizo zitawasaiida bodaboda kujilinda na kupata ajali mbalimbali za barabani hasa hasa nyakati za usiku kwani wakizivaa wataonekana hata wakiwa mbali kutokana na rangi za reflector hizo.

*Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Meridianbet wameona kuwa bodaboda wengi hawana reflector na wanaendesha bodaboda bila kujali kama wanaweza kupata madhara au laa. Usalama ni muhimu kwa bodaboda ndio maana Meridanbet wakiongozwa na Matina Nkurlu ambaye ni Afisa Masoko wa kampuni hiyo waliliona hilo ndio maana wakawapelekea reflectors.

Meridianbet inakuambia hivi endelea kubashiri mechi kali wikendi hii kama vile EPL, LALIGA, SERIE A, BUNDESLIGA na zingine nyingi ambazo zinatarajiwa kupigwa leo hii lakini pia, usisahau kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni ikiwemo, Avaitor, Sloti, Poker, Roulette na mingine ambayo itakuwa rahisi kwako kupiga mkwanja.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Baada ya kupokea reflector hizo bodaboda wa eneo hilo waliishukuru Meridianbet kwa kuwatembelea na kuwapelekea vifaa hivyo kwani vitawasaidia wakiwa katika safari zao za kila siku na wamewapongeza kwa kutambua umuhimu wao kwenye jamii.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad