HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 31, 2023

Makamu wa Rais awasili Bujumbura nchini Burundi kuhudhulia mkutano wa Dharura EACMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchoir Ndadaye uliopo Bujumbura nchini Burundi leo tarehe 31 Mei 2023. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa 21 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika nchini Burundi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad