RAIS MWINYI ASHIRIKI SWALA YA IJUMAA LEO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 21, 2023

RAIS MWINYI ASHIRIKI SWALA YA IJUMAA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) aliposalimiana na Viongozi wa Dini ya Kiisalamu mara alipowasili katika Masjid Mushawal Mwebeshauri Jijini Zanzibar leo kuhuria katika ibada ya swala ya Ijumaa.[Picha na Ikulu] 21/04/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)aliposalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili katika Masjid Mushawal Mwebeshauri Jijini Zanzibar leo kuhuria katika ibada ya swala ya Ijumaa.[Picha na Ikulu] 21/04/2023.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad