HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 15, 2023

Meridianbet Yasema Sasa ni Zamu ya Kuwashika Mkono Wanawake Wanamichezo

 


*Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/TndpXA

MERIDIANBET kama kawaida yao hurudisha kile kidogo wakipatacho kwenye jamii na leo wameamua kuwapatia jezi na mipira timu mbili za wanawake ambazo ni Mbagala Queens pamoja na Allan Queens ambazo wanaamini kuwa zitawasaidia kwenye shughuli zao za kimichezo.

Ugawaji huu wa vifaa hivyo ulikuja baada ya timu nzima ya Meridianbet kuona kuwa soka la wanawake linakua kwa kasi sana hivyo licha ya timu hizo kuomba kuungwa mkono, Meridianbet nao hawakusita wakaona wawashike mkono timu hizo mbili lakini pia watatoa na kwa timu zingine pia.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubeti wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

Baada ya kutoa vifaa hivyo,mkuu wa kitengo cha masoko na mwasiliano wa Meridianbet bwana Matina Nkurlu amesema “ Huu ni mwanzo tu tumeona tuanze na timu hizi mbili, Mbagala Queens na Allan Queens ya Dodoma kwakua hawa walitufikia siku chache zilizopita kwa barua rasmi, na kwakua wanajiandaa na mashindano ya ligi ya daraja la kwanza , tukaona tuwatafute na kuwatia nguvu.”

Bwana Masoko aliendelea kusema kuwa ndani ya Meridianbet wanataka kuendelea kuwavuta watu wengi zaidi hapa Tanzania kutumia Meridianbet kwenye shughuli zao za ubashiri kwani wao ni bora kwenye kila idara kuanzia kwenye ODDS KUBWA mpaka machaguo zaidi ya 1000.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Vile vile baada ya kupokea vifaa hivyo kiongozi wa Allan Queen bi Amina Bakari amesema “Hili ni jambo ambalo makampuni mengi yanapaswa kuiga na tunaishukuru sana Meridianbet kwa moyo huu wa kujitolea na zaidi kuona umuhimu wa kusaidia hizi timu za wanawake, Sisi kama ALLAN QUEENS , tunawaahidi tutafanya vizuri kwenye mashindao yanayofuata.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad