HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 4, 2023

RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN MWINYI AFUNGUA BOHARI YA MAFUTA MANGAPWANI

 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefungua Bohari ya Mafuta Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja, Machi 4, 2023 na kusema kuanzia sasa eneo hilo ndio kituo kikuu cha Biashara ya mafuta Visiwani Zanzibar.

Taarifa kamili iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu na kusainiwa na Mkurugenzi wake Bw. Charles Hilary imefafanua zaidi hapo chini.
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad