Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la TradeMark Africa (TMA) Monica Hangi na Mwenyekiti wa Chama Cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TYCC) Mwajuma Hamza walipokua wakizungumza leo na Waandishi wa Habari hawapo pichani kwenye mkutano uliofanyika Hoteli ya Four Point zamani New Africa Jijini Dar es Salaam.
Na Khadija Kalili
MWENYEKITI wa Chama Cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) Mwajuma Hamza ametoa wito kwa wanawake wajasiriamali na wafanyabiashara kushiriki katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo yanatarajiwa kufanyika Septemba 9 hadi 12 mwaka huu.
Mwenyekiti huyo wa TWCC amesema hayo leo asubuhi alipozungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofayika katika Hoteli ya Four Poi Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment