HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 5, 2023

MAMA MARIAM MWINYI AFUNGUA MASHINDANO YA NETIBOLI ZANZIBAR

  


MKE wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mama Mariam Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mchezo wa Netiboli  uliyofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 4-1-2023


BAADHI ya Wanamichezo wa Timu mbalimbali za Netiboli Unguja wakishiriki katika maandamano ya ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi yanayofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja
BAADHI ya Wanamichezo wa Timu mbalimbali za Netiboli Unguja wakishiriki katika maandamano ya ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi yanayofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akirusha mpira golini kuashiria kuyafungua Mashindano ya Kombe la Mapinduzi katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja 4-1-2023, katika mchezo wa ufunguzi  ulizikutanisha Timu za KVZ na Zimamoto na  Timu ya KVZ imeibuka na ushindi wa bao 42-41.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya KVZ  wakati wa ufunguzi wa Michuano ya Netiboli Kombe Mapinduzi  uliyofanyika  katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-1-2023
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya Zimamoto wakati wa ufunguzi wa Michuano ya Netiboli Kombe Mapinduzi  uliyofanyika  katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-1-2023
MCHEZAJI wa Timu ya Zimamoto Tatu Ali Mussa akijiandaa kudaka mpira wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja. Timu ya KVZ imeshinda mchezo huo kwa bao 44-41

MCHEZAJI wa Timu ya Zimamoto Pendo Adrian Mpela  akiwa na mpira wakati wa mchezo wao wa Ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi  na Timu ya KVZ,uliofanyika katika uwanja wa Gmykhana, Timu ya KVZ imeshinda mchezo huo kwa bao 44 -41

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad