HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 16, 2022

Rais Dkt. Samia Akiwa na Rais wa Marekani Joe Biden, Ikulu ya Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Marekani Joe Biden mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Marekani Jijini Washington D.C. tarehe 14 Desemba, 2022. Kulia ni Jill Biden Mke wa Rais wa Marekani Joe Biden

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad