RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWANAMKE INITIATIVE IKULU ZANZIBAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 23, 2022

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWANAMKE INITIATIVE IKULU ZANZIBAR

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwanamke Initiitive Bi. Sabra Ali Mohammed, akitowa maelezo ya shughuli zinazofanywa na Taasisi hiyo, walipofi Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuitambulisha Taasisi yao na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Mhe.Wanu Hafidh Ameir, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 23-11-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative,(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mhe.Wanu Hafidh Ameir na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Bi. Sabra Ali Mohammed, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuitambulisha Taasisi yao mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.23-11-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la Taasisi ya Mwanamke Initiative na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mhe. Wanu Hafidh Ameir, baada ya kumaliza mazungumzo yao na kujitambulisha leo 23-11-2022, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad