HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 16, 2022

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KENYA NCHINI TANZANIA PAMOJA NA AFRIKA KUSINI

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Kenya  Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga  alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar  akiwa na ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ikulu]  16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake  Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga  wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na  Mgeni wake  Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga  wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na   Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga  mara baada ya mazungumzo yao leo  alipofika kujitambulisha Ikulu jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na Mgeni wake  Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga  mara baada ya mazungumzo yao leo  alipofika kujitambulisha Ikulu jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake  Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga,baada ya mazungumzo leo alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)  akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Afrika Kusini Nchini Tanzania Mhe.Noluthando  Mayende  Mapele, leo alipofika  Ikulu jijini Zanzibar  .[Picha na Ikulu] 16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifafanua jambo wakati  akizungumza na  Mgeni wake  Balozi wa Afrika Kusini Nchini Tanzania Mhe.Noluthando  Mayende  Mapele, leo alipofika Ikulu jijini Zanzibar  kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)    akizungumza na  Mgeni wake  Balozi wa Afrika Kusini Nchini Tanzania Mhe.Noluthando  Mayende  Mapele, leo wakati  alipofika Ikulu jijini Zanzibar   kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake  Balozi wa Afrika Kusini  Nchini Tanzania Mhe.  Noluthando  Mayende  Mapele,baada ya mazungumzo leo alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad